KUTANGAZA NASI
0784 668508

AU
0713 668508
E-mail- tinydaddy2012@gmail.com

tinidaddy mzaziiiiiiiiii

Wednesday, March 13, 2013

MUONEKANO MPYA WA RAISI WA MASHAROBARO...BO

Huo ndio muonekano mpya wa Hit maker wa ngoma kama nichumu,oyoyoo,Unanananini Na sasa anakimbiza vibaya sana na ng0ma yake mpyaa aliYoipachika JINA la "kizenbe" sasa hivi anazidi kupiga show za kumwaga pande za uerope....jamaa anasema maandalizi yake ya video mpya kizembe yameshakamilika tayari na anasubiriu kumaliza kazi zake aje kukamilisha kideo hicho alichokitengea Budget ya millioni za kitanzania 5..
Bob junior...





No comments:

Post a Comment