KUTANGAZA NASI
0784 668508

AU
0713 668508
E-mail- tinydaddy2012@gmail.com

tinidaddy mzaziiiiiiiiii

Wednesday, March 13, 2013

MUONEKANO MPYA WA RAISI WA MASHAROBARO...BO

Huo ndio muonekano mpya wa Hit maker wa ngoma kama nichumu,oyoyoo,Unanananini Na sasa anakimbiza vibaya sana na ng0ma yake mpyaa aliYoipachika JINA la "kizenbe" sasa hivi anazidi kupiga show za kumwaga pande za uerope....jamaa anasema maandalizi yake ya video mpya kizembe yameshakamilika tayari na anasubiriu kumaliza kazi zake aje kukamilisha kideo hicho alichokitengea Budget ya millioni za kitanzania 5..
Bob junior...





Tuesday, January 15, 2013

PICHA BORA YA MWAKA 2012 NILIYOIPENDA......!!


BABY MADAHA AMKIMBIA JUMA NATURE....ZAMU YA SLIM

Wameonekana mara kwa mara wakiwa pamoja na kujenga wasiwasi kwa jamii inayowazunguka huenda wawili hao labda wana mahusiano ya karibu zaidi aka WAPENZI!!

Baby madaha alikuwa wa kwanza kujitetea nakusema Baby Madaha “Maneno mengi yanasemwa lakini ukweli ni kwamba sina uhusiano na Slim bali kilichotokea nilikuwa natengeneza video yangu ya muziki na nilihitaji kumpata mwanaume mwenye muonekano mzuri na mrefu kama Slim kwa hiyo kishemeji shemeji nikafanya naye kazi kama msanii mwenzangu na shemeji yangu,”anasema Baby Madaha. Lakini jambo la ajabu rafiki yake ambaye ndio mzazi mwenzake na Slim alikasirika na kutengeneza bifu akijua anatoka naye, Baby Madaha akisema lakini pia baadae aligundua kuwa tayari rafiki yake huyo alikuwa ametengana na Slim, Madaha anasema kuwa yeye hana mwanaume yoyote na hataki mwanaume zaidi ya maisha yake ya Single

HILI GAZETI LIKIANZA ITAKUA TATIZO,,,,,!!NALIITAMANI SOOON LIWE MTAANI


Wednesday, November 7, 2012

SAMAHANI WADAU WANGU!!

NMEKUA KIMYA KWA MUDA MREFU ILA SOON YATAISHA HAYA YOTE NI KUTOKANA NA MAREKEBISHO YA MUONEKANO MPYA WA BLOG YAKO PENDWA, TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE UTAKAOJITOKEZA!

Sunday, October 28, 2012

WEEKEND NILIKUWA DODOMA...NA HAYA YALIJIRI PALE KWENYE INTERCOLLEGE BASH YA STR8 MUSIC

DNA ALIFURAHI SANA KUMUONA BYSER!

DNA alikiri mbele yangu kwa TZ anamkubaki sana stamina!

Dj choka ,Dna na meneja wa DNA

STAMINA NA DNA WAKIANGALIA SHOW YA MR BLUU

DJ ziffer,nay, DNA NA ZILLAH

DNA alibahatika kumsalimia kingzillah
DNA kwa Stage ilikua show kali Sana!!

MC alikua Dozen hapo na vijana zilla,stamina &nay






DULLA SPARTAN NA VIJANA WAKE!

NIKIWA NA MENEJA WA DNA,dNA NA DJ SUMMER

TINYdaddy&DNA

Zillah kwa Stage alipagawisha sana pia!!

KiNg zilla&DIZY MCHIZY

Nay wa mitego alipiga show Kali

Freestyl za hapa na pale...

PICHA ZINGINE ZA KUONESHA TATOO ZA RAYUU.....!!


"Nilipiga mwenyewe hizo ila niliibiwa simu kuna kipindi nakumbuka so alieiba simu ndie anaesambaza picha hizo kwa watu na mitandao ya kijamii,kitu hicho kinaniuma na nakikemea sana kwa anaenifanyia huo mchezo"rayuu amemaliza hiooo

UJIO MPYA WA PLATNUM HUOO.......!!


PICHA ZA UTUPU;MREMBO ALIA NA KUSEMA "SUKUPIGA NISAMBAZE MITANDAONI,ALIENIPIGA ALIKUA BOYFRIEND WANGU"HUSNA




PICHA:NILIPOTEMBELEA STUDIO ZA NYEMO FM...@DODOMA!


WANA NILIOPAMBATANA NAO

TRUE BOY "NAY WA MITEGO"

NA WANA


NYEMO FM Dj'Z

NILIPEWA SHAVU LAINTRVIEW

Dj'z @ work

Marry meneja wa nyemo Fm akiwa naWATANGAZAJI!

MAKANGALE  the HOtest Bway!