KUTANGAZA NASI
0784 668508

AU
0713 668508
E-mail- tinydaddy2012@gmail.com

tinidaddy mzaziiiiiiiiii

Tuesday, January 15, 2013

BABY MADAHA AMKIMBIA JUMA NATURE....ZAMU YA SLIM

Wameonekana mara kwa mara wakiwa pamoja na kujenga wasiwasi kwa jamii inayowazunguka huenda wawili hao labda wana mahusiano ya karibu zaidi aka WAPENZI!!

Baby madaha alikuwa wa kwanza kujitetea nakusema Baby Madaha “Maneno mengi yanasemwa lakini ukweli ni kwamba sina uhusiano na Slim bali kilichotokea nilikuwa natengeneza video yangu ya muziki na nilihitaji kumpata mwanaume mwenye muonekano mzuri na mrefu kama Slim kwa hiyo kishemeji shemeji nikafanya naye kazi kama msanii mwenzangu na shemeji yangu,”anasema Baby Madaha. Lakini jambo la ajabu rafiki yake ambaye ndio mzazi mwenzake na Slim alikasirika na kutengeneza bifu akijua anatoka naye, Baby Madaha akisema lakini pia baadae aligundua kuwa tayari rafiki yake huyo alikuwa ametengana na Slim, Madaha anasema kuwa yeye hana mwanaume yoyote na hataki mwanaume zaidi ya maisha yake ya Single

No comments:

Post a Comment