MITANDAO MINGI YA KIJAMII NA BAADHI YA MAGAZETI YAMERIPOTI KUHUSIANA KUVUNJIKA KWA MAPENZI BAINA YA LINEX NA MCHUMBA WAKE MWENYE ASILI YA KIZUNGU
KUPITIA HAPA LINEX AMEKANUSHA TAARIFA HIZO NAKUSEMA SIO ZA KWELI HATA KIDOGO NA YEYE NA MWENZA WAKE WAKO KATIKA MIPANGO MIZURI TU YA KUANZA FAMILIA "HAO WANAOPAKAZA HAYO MANENO SIJUI NI KINA NANI!?MIMI NA BABY WANGU HATUNA TATIZO NA TUNAWASILIANA KILA WAKATI KILICHOFANYA YEYE KUONDOKA NI MASWALA YA KIKAZI NA SI KINGINE,NNAVYOKWAMBIA HIVI KUNA VIMEO NAMALIZIA HAPA IKIBIDI DEC INANIKUTIA FINLAND NIKAJITAMBULISHE KWAO, NAONA MANENO YAMEKUWA MENGI" ALIMALIZIA HIVYO LINEX
No comments:
Post a Comment