KUTANGAZA NASI
0784 668508

AU
0713 668508
E-mail- tinydaddy2012@gmail.com

tinidaddy mzaziiiiiiiiii

Monday, October 22, 2012

PICHA YA MSANII BOB HAISA ILIYOLETA UTATA LEO FECBOOK&TWITER !!!

Bob haisa sio jina geni msanii wa siku nyingi amabae anafanya kazi zake akiwa mkoanai mwanza,leo asbh ktk account ya mtangazaji wa kiss fm Dee seven ameweka picha hiyo china na watu kutoa tafsiri tofauti sana,Nilipomtafuta bob haisa alikua na haya ya kusema "NIMEPATA SIMU NYINGI LEO KUHUSU KUULIZWA NAENDELEAJE ILA KIFUPI NIPO FRESH SINA TATIZO LOLOTE ILA HIYO NI MAANDALIZI YA VIDEO YANGU MPYA ITAKAYOTOKA HV KARIBUNI NA HIO PICHA NIMEPIGA  KTK MOJA YA SEHEMU ZA NYIMBO YANGU MPYA HIO,SO MASHABAKI WANGU WAKAE TAYARI" ALIMALIZIA BOB HAISA.

No comments:

Post a Comment